Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kuna Wanaume wakatili sana aisee 😭
51,643 görüntüleme • 3 yıl önce •via X (Twitter)
34 Yorum

Na yeye bado kakaa hapo anasubiri nini? Au ana enjoy hayo makofi. Asie nyanyuka akaenda zake na asigeuka tena nyuma. Kuna muda wanawake wenyewe wanayaruhusu haya mambo kwa kudhani uvumilivu wa hivyo unalipa. Mimi angekula chupa ya kichwa kisha nasepa zangu.

Sema nikiona demu anachezea kipigo nafurahigii sana kitu wamenifanya hawa viumbe dah😥

Safi wana sumbua vichwa Sana hao..

Anatiwa adabu kidogo. Mbona kma kampapasa tu

It depends amna mwanaume katili mnaanzaga nyie kua wachokozi eventually we close the chapter

Watu bhana makofi yenyewe ya kitoto hata Jamaa anayepiga Hana nguvu 😡angekutana na zile fimbo, ngumi na mateke tungeitaje???

Mm sioni ukatili jamaaa kasoma sms Hapo kagundua jambo limemkera reaction Katia makofi alafu anamwambia Toka Dem katulia..naona huyo Dem ndio Katili mwenyewe

Wanawake tafuteni vipato vyenu haya hayatawakuta unapigwa hivyo upo tu usimtie ngumi ya testicle ajikute muhimbili baada ya kuzinduka kuna wanawake mnapenda kupigwa

Hilda,sio mwanaume wakatili,ni wanawake ambao wamekosa akili,wanatumia kamasi. Unapigwa wewe ni mtoto,you can't live without him,it's the lady's foolishness

Mbona jamaa mwenyewe anaonekana kama hana nguvu mkononi au anakula sana chipsi

Sema kuna binadamu katili! Uanaume ni kiungo kama hicho chako tu 😅😅😅. ~Mjifunze !!

Huyu mwengine mbn katulia tu.!🥹😅😂

@lilmuncho_ Unaweza kukuta yeye ndo kawachonganisha

Pia kuna wanawake wajinga haijawahi tokea unapigwaje na umekaa hapohapo

Dada ukatili hauna jinsia mm nilimkowa jamaa yangu kwenye ugomvi na mkewe alikuwa na hali mbaya mwanamke alimbana korodani tulivyoboa mlango tulikuta amezimia mama mzazi ndio alibaini ugomvi kwa sababu alikuwa nje nyumba amekaa kurupushani ilivyotulia akaita msaada ukatili upo

Anajua kosa lake huyo, ndio maana haondoki wala kujitetea,

Kwanini hata kuondoka? Maana yake na yeye ni jeuri au anajua kakosea!

Sasa Na Yeye Kuondoka Alikuwa Anasubiri Nini

Kwann hasira hvyo mwache aende zake

Ndio maana wanakufaga

Hakunaga mtu anapigwa bila sababu ukiona paka mwanaume anakuzabua hiv behind kuna jambo kama hamtaki kupigwa msiwe mnapokea hela zetu yale matunzo yetu ndo hasira zetu

Mhhhh mwanamke wangu nampenda Halaf hii ni dharau mtu anayekucare always usimdharau hiv mbele ya watu jaman

Sasa na yeye kwnn asiondoke tu

😁

Lazima tukubari pia Kuna wanawake wakatili, ukatili dhidi ya wao wenyewe...unaambiwa ondoka,kwanini usiinuke mpaka makofi yafike 100...anachofanya huyo mwanamke ni kama kushika kitu na kuendelea kujijeruhi... stupid lady...

Kinacho mzuia hapo asisepe zake nn

Atakuwa kaongea uttumbo

Haya Makofi ingependeza sana ungetandikwa wewe

Alipewa miguu ya nn sasa

Hii hapana

Matokeo ya jani korofii

Sasa hapo kuna ukatili gn, mbona huyo msimbe anawekwa sawa tu mashavu

Sitajifanya kama najua hiyo stori🤐

Li jinga nalo 😒 unaambiwa “toka” na makofi we umekaa tu 😡
Benzer Videolar
Sensitive content
Kenya kuna mambo,na hao wanaume wenye wanaonekana wanatwerkiana hawakai gay or something,wanaume tu wanapendana 😂😂mambo Yao hukua ngumu😂😂
Misspreety 🤪
64,146 görüntüleme • 1 ay önce
