Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Azimio la Mtwara
29,267 Aufrufe • vor 2 Jahren •via X (Twitter)
10 Kommentare

Nadhani kuna kitu mnatafuta sasa sio kufanya Siasa

Wamakonde waachie ccm na CUF

😆 halafu yeye atakua wapi watu tutakua busy kutafutia watoto wetu chakula school fees nakadharika mtawapata ma homeless na majob less

Hamna lolote wana ukwata!!

Lema na mbowe nawaona kama vichaa aliotoroka milembe ,bila kumuacha tundu lisu ,sioni nikipi mnacho kihitaji Kwa Kwa uma wa watanzania,nitawaunga mkono endapo mtaacha biashara haramu za nyara za serikali na madawa ya kulevya

Mimi ata sioni matokeo ya haya maandamano kwa kweli

Matembezi ya hisani ya week 🤣

Watakusanyika kamati kuu na viongozi wa mikoa, wengine watakuwa busy kutafita riziki

Mzee mwenye baraka nyingi ulimwenguni

@godbless_lema unafaa kugombea nafasi ya uenyekiti hata ww
Ähnliche Videos
Sensitive content
Resolutions by the Azimio la Umoja–One Kenya Coalition Party 3 August 2026
Kalonzo Musyoka
117,239 Aufrufe • vor 2 Monaten

