正在加载视频...

视频加载失败

B LEVO BAA.🔥🔥🔥 FACT TUPU👑

100,385 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

BELINDA 的头像
BELINDA1 年前

Upuuzi katoa maoni au amekuja kuibeza simba Kama meneja wa uwanja akufungua geti yanga walikuwepo wanFnya nini uwanjani simba alitakiwa akataliawe na meneja na sio hao walinzi wa yanga Kingine baba levo anahamasisha kama nani ety yanga asicheze ukiwa chawa uwe n mpaka

Malalo Adam 的头像
Malalo Adam1 年前

Huyu japo hana taaluma ya uchambuzi lkn anawazidi wale waliojaa mashavu kina Oruma

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

take the journey

Nderumaki@gmail.com 的头像

usilinganishe pamba na Derby, pamba ina influence gani?msitumie kichwa kma mfuniko wa shingo

SATIVA17 的头像
SATIVA171 年前

KOLO NI KOLO. Tangu lini ligi iliendeshwa kwa influence? Ligi inaendeshwa kwa kanuni. Kanuni mnazijua ndiomaana game ya PAMBA mlifanyiwa fujo ila kesho yake mkapeleka team. Hii game kwann hamjaleta team?

Mtani 的头像
Mtani1 年前

Pre match meeting si inakua asubuh ya siku ya match ama? Ni kwamba amechoma au mimi ndo sijui?? Au bas

willisaac👽 的头像
willisaac👽1 年前

Mechi itaitwa dabi ya mama na mtaleta timu tu mamae zenu

Lil Dee 的头像
Lil Dee1 年前

Walitaka tuzingatie Arusha, hakuna kingine hapa

Adloph 的头像
Adloph1 年前

2. Watu wanalinganisha mechi ambayo Yanga walileta timu muda muafaka saa 11 badala ya saa moja baada ya BODI YA LIGI kuhairisha mechi kinyume na sheria ili kuwapa favour wanasiasa waliokuwepo Bungeni wamalize bunge waangalie mechi ambapo TFF waliiingiza siasa kwenye mpira .....

M 的头像
M1 年前

Unasema kaongea fact wakati utumbo mtupu, Serikali inakabidhi uwanja kwa timu mwenyeji siku 1 kabla ya mechi husika hivyo yanga walikua na mamlaka nao pia pre match meeting haifanyiki siku moja kabla ya mechi ila hufanyika mapema siku ya mechi yenyewe.

Jumaah Salumu 的头像
Jumaah Salumu1 年前

Baba Levo, good sana ila bodi ya ligi kuu na TFF pia wizara yake haipo kimpira. Kama matukio kama haya alishatokea msimu huu na mechi zilichezwa, vizuri tu. Je mamlaka waliyatibuje ili asijitokeze tena, siasa kwenye mpira umetawala sio uweledi. We are looser.

相关视频

Uno Rojo rostiii 😋🔥🔥🔥🔥 Utamu tupu 👉🏼
0:30

Sensitive content

Uno Rojo rostiii 😋🔥🔥🔥🔥 Utamu tupu 👉🏼

Fetty Wakuache

28,648 次观看 • 1 年前