Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
BAD🤴🏿 MSHEDEDE👑
84,420 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Mzee. Sorry Hiyo YAMAHA tulishaitenga na mziki wa Bongo. Don’t compare Mbosso Natural na Marioo AI

Hiyo ya Mshedede haina COMEBACK mpaka wiki ijayo siwezi ikosa kwa playlist yangu. Selection ya nyimbo ✅ Sound ✅ Narration ya story ✅ Back vocals✅ Balaaa kubwa hili

Alipiga kama haji kupiga tena

Show ya mshedede inaweza kuwa the best ndani ya hii miaka 2020-2025 sijaona live performance nzuri kuzidi hii kwa msanii wa bongo fleva. Hizi show nilizoea kuziona na kina Bella Kombo, Neema gospel, Essence of Worship, Rehema Semfukwe na Israel Mboyi. Mbosso aliuaaa🙌🙌

😂 Kaka huku kwetu msanii wetu ni jay combat ,,

Ila mbosso kmmkee huyu msenge fundi sanaaa

@Sativa255 hapa umetukosea mwanangu 😂 Mbosoo kwenye yamaha aliua sana sana sana tafuta show nyingine ya Bad kwanza hii achana nayo 😂 Huu mjadala mimi siwez toa majibuu

YEAR OF THE KOTO 💊🀄🐉 ★彡⋆°✩°░▒▓█▀▀▄█▓▒░░▒▓█ VISIT *** *** NOW!!!

Acheni kumfananisha mbosso na ujinga wowote ule hapa east africa

Kilungi baba 🙌

Olumianaa mmoja umempa dakika 1:26 mwingine umempa sekunde 46 oke ulipo tumepajua
