Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Bado safari ni refu sana !!

33,159 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Leonard Sinda
Leonard Sindavor 1 Jahr

Na bado akauza bandari na Ngorongoro?!

Profilbild von Solar Heavy
Solar Heavyvor 1 Jahr

got a min for a new song?

Profilbild von YourCousin
YourCousinvor 1 Jahr

Akili ndogo hz Sijasoma Uchumi Ila uchumi wa Tz kipind cha JKN hauwez kuwa sawa na uchumi wa Tz kipind iki Hvyo hata uwezo wa kukopa ni tofauti… Uwezo wa Mo Dewji kukopa mwaka 1998 kipind anachukua METL hauwez kuwa sawa na uwezo wake sasa Kampuni imekuwa na uwezo lazm uongezeke

Profilbild von Omary Mjema
Omary Mjemavor 1 Jahr

T20 Zipo mifukoni mwako wajanja weed

Profilbild von Dr.GANDLF
Dr.GANDLFvor 1 Jahr

Gonga like kama. Ulimuelewa ndugai

Profilbild von Jamal Said
Jamal Saidvor 1 Jahr

Wanawake na kausha damu ni jadi yao...ko hakuna chakushangaa hapo..

Profilbild von Rizik Makoye
Rizik Makoyevor 1 Jahr

Nchi imejiunga vikoba vya IMF & WORLD BANK, ni kawaida kwa wanawake wa pwani kufanya mambo haya

Profilbild von Nestory Gervas
Nestory Gervasvor 1 Jahr

Wewe jamaa hizo data umezitoa chumbani kwa mke wako, una uhakika na hilo unalolisema. Nyerere alikopa kiasi gani, na Je Mwinyi alikopa kiasi hani kama una kumbukumbu kweli!?

Profilbild von Mr.Eagle 🦅
Mr.Eagle 🦅vor 1 Jahr

Mamae

Profilbild von baba g
baba gvor 1 Jahr

Zilizolipwa na Samia baada ya hao wengine kukopa ni ngapi???

Profilbild von chifu kiumbee
chifu kiumbeevor 1 Jahr

Hao itv camera zao hua hawabadlishi aisee

Ähnliche Videos