Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Bado tupo sana mtaani.
95,154 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
10 Kommentare

Wengi huja baada kuona wachache wameweza 🤝

Maandamano ya nchi hii mkipanga nawenyewe wanapanga. So apo iwe ivi siku lisu ..mbowe na viongozi wengine wanaitisha mkutano wa hadhara unaanza asubuhii ..saa4 alafu kinanuka kwanzia hapo ..ila tukisema tunapanga ratiba ni uongo

😂😂😂😂 Sema Twaha una utani sana.

Ndio mpo wa 5?

Huyo mama kaguswa bega tu na mwenzake anataka kutoka nduki 😂😂😂😂

INASIKITISHA na KUHUZUNISHA SANA🤔🤔. Wakati mwingine viongozi wa CHADEMA muwe mnafikiria VYEMA kabla ya kufanya maamuzi kwenye mambo mazito kama haya. Kilichotokea leo is exactly what I previously warned you of, NA KWA FAIDA YA WENGI NINAPENDA KURUDIA TENA: "UHAMASISHAJI WA MAANDAMANO kwenye TAIFA LA GIZA kama hili, lenye idadi kubwa ya raia walio WAJINGA na WAPUMBAFU juu ya HAKI na NGUVU ya UMMA, is NOTHING MORE OR LESS THAN JUST: 1. UGHALIMISHAJI wa KIZEMBE wa maisha ya vijana na watu WACHACHE wanaobeba MAONO sahihi ya UKOMBOZI halisi wa TAIFA hili. 2. UPOTEZAJI muda wa BURE, na udhalilishaji wa nadharia jumuishi ya MAANDAMANO ya AMANI. 3. UCHOCHEZI wa VURUGU za BURE, unaoweza kuighalimu AMANI dhaifu iliyopo, na kuutweza BURE USALAMA wetu kama RAIA. TUFANYE NINI BASI? Tanzania si mwanafunzi TIMAMU aliye mjinga pekee, bali ni mwanafunzi mjinga aliye MPUMBAFU pia. THEREFORE, kumfundisha mwanafunzi huyu kwa kutumia mbinu elekezi zilizo maalumu kwa ajili ya mwanafunzi TIMAMU, ni sawa sawa na kujaribu kuitibu MALARIA SUGU kwa kutumia PALACETAMOL na AMOXICILLIN pekee. KAMA KUITIBU TANZANIA HII NI JAMBO LA LAZIMA, BASI na tulitibu taifa letu kwa namna sahili inayoweza kulifanya lituelewe vyema. With that being said, nafikiri huu ndio muda sahihi kwa @ChademaTz sambamba na vyama vingine vya UPINZANI, kuachana kabisa na VUGUVUGU la KIHARAKATI, na hatimaye kujiingiza katika SIASA makini ZITAKAZO WAWEKA KARIBU NA majority ya watanzania hawa walio WAJINGA na WAPUMBAFU. Ni muda sahili kwa vyama hivi kuanza kuwekeza katika HAMASA ya kisiasa, kwa kuipanda nguvu yao kubwa kwenye VILABU vya SOKA, WASANII, INFLUENCERS, na hizi GROUND TIER SOCIAL MEDIA platforms kama FACEBOOK, na INSTAGRAM. Wakumbusheni viongozi wa vya vyama vyenu, madiwani na wabunge wenu, kuanzisha ligi za mbuzi na ng'ombe kwenye maeneo yao wanayotoka, ili kunasa ATTENTION ya vijana wengi WAPUMBAFU wasioona ubora na furaha ya MAISHA, nje ya KAMALI SOKA na MPIRA wa MIGUU. Badala ya KUWEKEZA KATIKA HARAKATI TUPU PEKEE, PANDENI MBEGU YA USHINDI KWA KUFANYA HARAKATI MAKINI NDANI YA SIASA SAHILI, ILI MLIOKOE TAIFA LENU." Maximilian Ludovick anaomba kuwasilisha.🙏🏿🙏🏿

Muriro wewe ni waajabu sana kuliko mnyika, RPC wa Dodoma analinda sasa migodi na kampuni za ulinzi, kwanza anaelimu kuliko yako, sio chawa,ukiondoka madarakani CCM haikujui, muulize mwenzako sasa hivi ni mbwakoko.

Hiiiii mama jamani...hongereni jamani eti

Ndio maandamano ya nchi nzima hayo 🤭🤭🤭

Maandamano ni haki lakin haki hatuioni
Ähnliche Videos
Sensitive content
Ukilipia pale mtaani alafu tokens ziishe ikiwa bado kumaliza 😂
Mombasa night life
26,393 Aufrufe • vor 1 Jahr
