Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Bao la ufundi. #NguvuMoja
29,986 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
9 Yorum

WHYMYCATISSAD1 yıl önce
Huyu msimu ujao asiwepo tafadhali

Abuu AbdulMalik🇧🇷1 yıl önce
😂

Malalo Adam1 yıl önce
Na kuna lile na Mzize pasi katoa Pacome 😂😂

femaleKENDRICK1 yıl önce
Uyu bondia hili goli lilikua kali sana si ajabu asije kufunga kali zaidi ya hili tena mpaka anaondoka Msimbazi

Romeo*1 yıl önce
Achen ufala mfaten balla conte haya magoli hayakutusaidia hata kubeba kikombe cha chai🚮

chem4life inv. 🛢️1 yıl önce
achen ushamba fukuza hyo nyumb, maswala ya ufundi anzshen timu yenu aichezee tumeshawachoka sas mnakera kabisaaa 🥸

Mboni1 yıl önce
Goli bila makombe ni sawa na...... (malizia)

𝗄𝗎𝗇𝗀𝗐𝗂 𝗆𝗌𝗈𝗆𝗂🥑1 yıl önce
Najuta sana niliachana na mme wangu Ili nipate mda wa kuishabikia hii timu chaajabu MAKOMBE hakuna na nimebaki kuwa single mother

EV_King1 yıl önce
Aura goal kutok kwa Ateba
Benzer Videolar
Neno la kwanza la Kibabage akiwa Msimbazi. #NguvuMoja
Simba Sports Club
12,099 görüntüleme • 7 ay önce
