
Simba Sports Club
@SimbaSCTanzania • 2,005,144 subscribers
The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)
Shorts
Videos

Kikosi kimeshindwa kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar kutokana na uhaba wa viwanja uliopo mjini Bukoba. Kutokana na ubora mdogo ambao hauendani na ukubwa wa Ligi yetu, benchi letu la ufundi limeamua kutokufanya mazoezi kwani endapo watafanya mazoezi katika uwanja huo utawaweka wachezaji katika hatari ya kupata majeraha. #NguvuMoja
Simba Sports Club128,690 views • 21 days ago

Mechi mbili, pasi nne za magoli. Huyu ndio Libasse Gueye 🙌 #NguvuMoja
Simba Sports Club43,356 views • 16 days ago

Bao la viwango vya juu kutoka kwenye miguu yenye thamani kubwa 🙌 #NguvuMoja
Simba Sports Club43,268 views • 19 days ago

𝐓𝐇𝐄 𝐁𝐔𝐋𝐋 𝐒𝐓𝐑𝐈𝐊𝐄𝐑 𝒏𝒅𝒂𝒏𝒊 𝒚𝒂 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐃𝐀𝐘 𝟐𝟎𝟐𝟔. Medie Kagere ‘MK14’ atakuwepo katika Simba Day 2026 lakini pia akishiriki mchezo wa kirafiki akiwa mmoja wa wachezaji wa menejimenti ya Simba. Umemiss kuona magoli yake? Karibu Jumamosi hii. #SimbaWeek2026 #SimbaDay2026 #NguvuMoja
Simba Sports Club50,284 views • 1 month ago

Mabao mawili yaliyotupa alama tatu katika mchezo wa leo dhidi ya Pamba Jiji. #NguvuMoja
Simba Sports Club26,662 views • 17 days ago

𝐋𝐄𝐆𝐄𝐍𝐃 𝐄𝐌𝐎𝐒𝐓𝐈𝐍𝐆 𝒏𝒅𝒂𝒏𝒊 𝒚𝒂 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐃𝐀𝐘 𝟐𝟎𝟐𝟔. Mmoja wa wageni maalumu katika Simba Day 2026 atakuwa ni Legend Emmanuel Okwi. Siku kubwa ya kumuaga kwenye mpira kwa heshima anayostahili lakini pia akicheza mchezo wa kirafiki akiwa na jezi ya Simba SC. #SimbaWeek2026 #SimbaDay2026 #NguvuMoja
Simba Sports Club37,428 views • 1 month ago

Mchezaji Bora wa Mchezo, Libasse Gueye akizungumzia mchezo ulivyokuwa. #NguvuMoja
Simba Sports Club19,336 views • 17 days ago

𝐂𝐀𝐏𝐓𝐀𝐈𝐍 𝐅𝐀𝐍𝐓𝐀𝐒𝐓𝐈𝐂 𝒏𝒅𝒂𝒏𝒊 𝒚𝒂 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐃𝐀𝐘 𝟐𝟎𝟐𝟔. Legend John Bocco atakuwa mmoja wa wageni maalumu katika Simba Day 2026, lakini pia atashiriki mchezo wa kirafiki kama mmoja wa wachezaji wa timu ya menejimenti ya Simba. Vuta picha hapa Okwi, pale Kagere na Bocco. Kesho hiyooo. #SimbaWeek2026 #SimbaDay2026 #NguvuMoja
Simba Sports Club24,068 views • 29 days ago