Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Binti Yetu kapatikana leo....
11 Kommentare

Latto 𝕏vor 1 Jahr
Ama Kweli, Hujafa Hujaumbika 😢😢 Msikilizeni ndugu wa Marehemu 😢😢 Video kwa Comments👇

shaa🦋vor 1 Jahr
Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

NaNaLee_Tz🥀(🇰🇷)낸시♉️vor 1 Jahr
Apo aliposema kaatibika panasikitisha sana🤦🏽♀️

Geofrey Mangwelelevor 1 Jahr
Daaa tunduma huzuni kwelikweli

Stephanovor 1 Jahr
Mtangazaji hata kusema poleni muda wote mmh

James Mvor 1 Jahr
Mungu awape faraja hakika hii inauma sna binti mdogo Daaaa.R.i.p my sister

Jack Jackvor 1 Jahr
Duh

Eng.Salum_libabavor 1 Jahr
Poleni sn wafiwa, mwenyezi Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu

Dhabihuvor 1 Jahr
Mwili hauna macho ni fuvu tu dah!! Inauma sana 😢 apumzishwe tu dar jamani.

Bob mallyvor 1 Jahr
Ivi hiyo subtitle mbona sijaielewa inazungumzia nini mbona kama Ina divert story halisi? Au mimi sijaelewa na kwa nini wanatumia Google translation hii mbaya Sana kwa media kubwa kama hii ukweli.

Yusta Mbisevor 1 Jahr
Pumzika kwa amani 😭😭 hii Dunia siyo yetu😭
