Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Bodaboda wenzangu mnasikia lakini ?

48,811 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

11 Yorum

Garnet profil fotoğrafı
Garnet1 yıl önce

Ndio maana tukaambiwa elimu ni muhimu, sasa kwanini asiseme watakaotembea nusu uchi washtakiwe

ellyud profil fotoğrafı
ellyud1 yıl önce

Eeeeh🤣🤣🤣🤣, kwa hiyo akipita mwenye maumbike makubwa hakuna kukohoa , me ninaebanja kabisa si nitahukumiwa kunyongwa

Solar Heavy profil fotoğrafı
Solar Heavy1 yıl önce

does this represent Miami?

Msafiri profil fotoğrafı
Msafiri1 yıl önce

Lini watashika Watekaji na Mafisadi wakawafunga?

BIH2024 profil fotoğrafı
BIH20241 yıl önce

Afande wasiojulikana ndio shida kubwa mtaani. Hii ya kukoa wahusika wao waje washitaki polisi muwakamate. Sema hii nchi, hivi afande unajua Kwa nini Raia wakikamata mwizi wanampiga badala ya kumleta polisi?!

Profesor M23 profil fotoğrafı
Profesor M231 yıl önce

Wanaume tumeumbiwa mateso😥 yani mtu umesha fanyiwa shambulio la msisimko 😎 unakohoa upate msaada unauziwa kesi! Ya shambulio la aibu😭 tukaze tu Wanaume nimifumo ya kumpoteza men kwenye uso wa Dunia

Chaz Murimi 🇹🇿🇰🇪🇺🇸🇺🇦🇮🇱 profil fotoğrafı
Chaz Murimi 🇹🇿🇰🇪🇺🇸🇺🇦🇮🇱1 yıl önce

Boda boda viazi sana

mr_profit_19 profil fotoğrafı
mr_profit_191 yıl önce

😁 mambo ni mengi

maishaNamimi profil fotoğrafı
maishaNamimi1 yıl önce

Kwani wakijistili kuna ubaya

Omari Nyahegs profil fotoğrafı
Omari Nyahegs1 yıl önce

Laana imeanza kufanya kazi

Haki Uinua Taifa profil fotoğrafı
Haki Uinua Taifa1 yıl önce

Hiyo niishara ya kuto kujua vyema majukumu yako niyapi kama polisi sasa ww unadhani wanavyoo vaa mpaka sehemi zao nyet zinajichora unadhani wanatafuta nn sa kusifiwa unafeli wp ndg

Benzer Videolar