ะะฐะณััะทะบะฐ ะฒะธะดะตะพ...
ะะต ัะดะฐะปะพัั ะทะฐะณััะทะธัั ะฒะธะดะตะพ
๐๐๐๐๐๐๐๐Bongo bhanaaa
79,581 ะฟัะพัะผะพััะพะฒ โข 2 ะปะตั ะฝะฐะทะฐะด โขvia X (Twitter)
ะะพะผะผะตะฝัะฐัะธะธ: 10

Huu ni mdoli kama ile ya Kariakoo kwenye maduka ya nguo wala sio Robot Bumunda Nape aache utapeli.

Makubwa.. Haya siyo ya kucheka..! Wakenya wanasema.. HIZI NI MA-WHAT..?

Lema fanya juuu chini urudie nafasi yako chuga ili urudi bungeni tumemiss nondo wasingeleta huyo roboti wanafanya ivyo kutokana wapo wenyewe kule ndani.

Hiyo sauti naifahamu, iko katika mojawapo ya akaunti zangu za kubadili text to voice kwa kiswahili kwa kutumia AI tool. Sio sauti za watanzania na haina mvuto kabisa. Ilitakiwa zingetumika sauti za kitanzania ili kuweka ladha ya utamaduni wetu katika kuongea

Mbona yupo tofaut nasofia sofia kope zina cheza midomo inafanania kuzungumza au huyu nikama redio tu waweka frash iliyo kwisha rekodiwa au mimi ndo sielew

Hili ndio robot sasa

Hatakama inatakiwa kupenda vya kwetu hii hapana aisee ๐๐๐..nni hiki ?

Kaizen kiongozi, hata mbuyu ulianza kama mchicha

Mbona kama wameliwekea Karedio na memory ndani , hata midomo haichezi ๐๐๐

๐๐๐ ma-robots wakimshangaa robot mwenzao bila kujua kuwa nao ni ma-robots na remote yao iko kizimkazi.
