Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Bongo kama Dubai
28,431 Aufrufe • vor 8 Monaten •via X (Twitter)
21 Kommentare

Nishauziwaga total... Inanuka mpk fund akaniambia apa tumepigwa

Kwisha Habari Yao Ila Kama Kupiga Ela Washapiga Sana

Wakiwezeshwa watafika mbali sana...

Viwanda uanza taratibu! 🤣🤣, leo wanacopy kesho watatengeneza yao

acha waziuwe tu wenye magari wanazarau sana

wamedakwa au vp😂😂

Kwani simlisema vijana tujiajiri 😂. Mzigo made in Tz huo

Tabia za Wahindi na jirani zishafika bongo

FB 20 haiwezi kupona kumamake 😂😂😂 @ms_minaally hii ndo iliua engine

Mchina ataacha kaishavuruga hili Taifa kila sehemu. Hao wamisharithi tabia za kichina tayari

Oil ni ile ile sasa wakaine

Ss huyu aliyeposti ndio mnoko unauchuna watu wajipatie kipato

Only buy oil from authorized outlets

Wazee wako bussy wanaendeleza kuweka stika tu

Wanaua sana gari zetu dar

Wateja mnaopenda bidhaa za bei rahisi sijui mnaona?

Watu wakiambiwa umuhimu wa kuscan QR code hamuelew haya sasa mnaenda kuuwa engine za watu tu.

Wapeni watu Elimu watengeneze vitu original kuwafunga sio dawa

Hatari kubwa.

Hii issue ni mbaya sana qmmq..! Hawa wasee wameharibu gari za watu sana qmmq

Watz mtaacha Roho mbaya lin jamn hiv ndio viwanda tunataka hawa wapewe elimu maisha mengne yaendle why?? Kuwakamata so nyie mnataka watu waendle kuendesha boda jinga kabisa kazi ya boda ndio halali washenzi wote
