正在加载视频...
视频加载失败
DAAH KMMK WALLAH BONGO!!!!😅 #NoReformsNoElection
56,237 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Usimwamini binadamu anaetoka damu kila mwezi bila kuumia NARUDIA USIMWAMINI KAMWE

Sugu! Nakuomba sana endelea kuwa pamoja na Chama chetu pendwa Chadema. Mwanga upo Mbele,Nyie Ndio mlikuwa WABUNGE wa kutupambania. Bunge la Sasa limekuwa Getto ukichelewa kuamka tu unakuta mshikaji kavaa nguo zako na huwezi kuuliza kwasababu ulichelewa kuamka Asubuhi 🥺

Kaenda Kwa Wapaka Mafuta, Watoto Wa Ibirisi Ngoja Wakamsuuze Kwanza. Hatoamini 🤣🤣🤣

Me sina neno Taita.

HIPHOP for life,,😀✌️✌️✌️ndio maana hata kule bungen tuliwapa dole lakati hatupendi upuuzii 😀😀🎤

Mpaka PUMBU Zangu Zimekufa Ganzi

Ngoja na mm niseme kddk wallah bong tutadai mabadiliko hata iwe vp huu msimamo utafukua vingi shikila ulipo shika

Sizani kama kenya kuna siasa za kisenge kama tanzania, wanasiasa wa tanzania hawanaga aibu aisee. Akikosa huko halafu wananchi tukapambana tukafa reforms zikapatikana atarudi chadema na mtampamba na Jimbo mtampa agombee kidadeki😁🫵.

Hakika mimi bado nasimama na Punda alishagiliwa sana kumbe amembeba yesu alivyo Rudi kipigo kilizidi!!! Hawa tuwasubili barabarani.😄😄😄

Ila tusife moyo,,aliyesema #NOREFOMSNOELECTION AMETUFUNGUA MACHO KWA KIWANGO KIKUBWA SANA
相关视频
Sensitive content
Daah!! 😂💔
Masaki
26,558 次观看 • 1 年前
