Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Bongo kuna vipaji
60,494 Aufrufe • vor 3 Jahren •via X (Twitter)
33 Kommentare

Sasa band hii iwe kwenye show alf kiba na marioo wa perform kwa support ya hii band itakuwa zinga la show

Mzee fanya namna huyo mwenye jersey ya Chelsea tupate no yake

😀

Hawa watu wa copy wanaeza wakaipiga ngoma yako mpk wewe ukaonekana ndo umecopy kwao😂

Ali Kiba Mnyama sana yani , He sings the music of the soul! Huu wimbo unaweza kuwa historia!

Hii Ngoma Ya Alikiba “SUMU” Itaishi Sana Ngoma Kali Sana Marioo Pia Kaua Sana Kwenye Ngoma 🔥

@downloadtwittervideobo

@OfficialAliKiba fanya namna uende nao kwenye show moja ivi takatifu

Uyo Jamaa white anaitwa Dobe nimesoma nae sacred heart sec. Kagera 😁😁kaanza production 2014 alikataaa mambo ya kusomaaa na alikua kichwa sana secondary

Oyaaaa wanajua wanajua alafu wanajua tena🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Asking for a friend wanapigia wapi hii Band?

Kwaya hiii

Hawa jamaa wapo vizuri sana kwenye back vocals na wamesha fanya sana kazi na wasani wakubwa kwemye shows mbali mbali

@SaveMyVideo

Amazing 🤩.

Kali kuliko OG

Aisee 🙌🏿🙌🏿

Wameinyosha🔥

Mmeuwa yani hii ni nomaa...

@OfficialAliKiba @mariooOfficial

Ni kujipa muda tu someday tutafanya vizuri nje ya bara , watu wameamka skuizi japo wengi hawaonekani still but time will come

Ubunifu ndo hakuna

Huyo jmaa bonge huwa namuona anapiga back vocal kweny matamasha

@DownVideoBot

Ndio raha ya live band

wako vizuri

Nilitaka kushangaa asiwepo mtu mnene kwenye vipaji vya kuimba.. 🙌🙌😁

Kinoumaaaaa

Ila Venye hype ndo vinaenda mjini

Mbna kama clip imeishia mwanzoni kabisa.. 😊 acha wamalizie kucheza basi

mbona kama @Ireneigora yupo apo

Hatali

Alafu huyo mwenye kigauni cha njano kipaji chake kizuri ila amekificha.🙌🏿
