Loading video...
Video Failed to Load
Bonus Video ๐๐
20,148 views โข 1 year ago โขvia X (Twitter)
17 Comments

Unakosaje ajira kizembe? Au ni kwamba connection huna? Nakupa channel ambapo ajira zote zinatumwa humu. Jiunge sasa:

You Put My Husband on your Chest?

Priscilla, mke wa Juma Jux. Ilibidi Amhoji Papaya's Ex kwa kuweka picha ya Mumewe kwenye ziwa mara baada ya kukutana nae.. Alishindwa vumilia aisee ๐๐๐ Angalia ilivyokuwa... Video kwa Comments ๐

Hata ya Davido ilikuwa hivyo hivyo, nadhani ndo utaratibu wa harusi zao. Hazieleweki

Kwanza nataka kujua huyu dada anaitwa nani account yake nika m follow kaongea kitu kikubwa sana ile harusi mrundikano mwingi yani najaribu kujiuliza tu harusi kubwa kama ile inakosaje mpangilio sio kwa ubaya lakin

Huyu dada anafaa kutangaza DW amrithi Yule mama

She has a point.I concur.

Kaongea ukweli mtupu.

Yupo sahihi

Ni kweli

Et ukinitukana na wew ndio hivohivo๐๐

๐๐ila kweli

Tunasubiria yakwako tuone iyo fomura

Hiii kweli

Anakitu

Upo sahihi

Endelea kukaa ulaya huko kama mkimbizi
Related Videos
Sensitive content
Bonus Video
Some Place In Time โฐ
20,814 views โข 2 years ago
