Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Bwana Afande.
46,769 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Alo kwa umri wangu huu hii ndio mara yangu ya kwanza kukutana na police officer mwenyewe IQ kubwa kama huyu. Asante saana afande kwa weledi wako hata mimi nimechota maarifa saana.

Natoa amri shushen sanamu ile ya askar posta akae wiki uyu mwamba ana IQ kubwa sn....

Sasa huyu ndie alifaa sana kuwa IGP elimu yake nafikir inashabiana sana na IGP wa zamani SAID MWEMA,. Anyway yupo vizuri sana MUNGU ambariki🙏🙏

Huyu Afande mbona uwezo wake ni mkubwa sna haulingani na huko kazini

Huyu Bwana afande si ndio alijitoa ufahamu wakati wa uchaguzi na akamwambia Mbowe hushindi ng'ooo hata ufanyeje?🤣🤣🤣🤣

Huyu ndo angetakiwa kuwa IGP. lakin kwa nchi yangu mwenye kipawa kikubwa cha akili anashushwa cheo ili wajinga wazidi kutawala. ukionekana mjanja mjanja. Unakamdamizwa ila huyu Dingii anatoa elim safi sana

Safe sana mzee na he hekima kubwa pili anaelewa maana ya utawala na muundo mzima

Si ndio huyu huyu wakati wa uchaguzi alisema ilipo CCM na wao ndipo walipo?

Huwa anajitahidi sana kuongea vya ukweli huyu jamaa

Kapiga spana! Lakini kikubwa ni KATIBA MPYA TU NDIO MUAROBAINI.
