Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Dah! eh! haya bwana wakili.
70,987 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 30

Kuna watu huwa wanafikiri kuwa mwanasiasa basi ni free pass ya kusema uwongo mchana wa jua kali na ukaendelea tu maisha yako!

Ndio wanaokatisha watu wena tamaa ya kufanya siasa. Fikiria huyo bi msomi sasa. Hivi wanapojiita "mawakili wasomi" ina maana gani?

Siasa inaibuaga watu wa ajabu ajabu linapokuja suala la kutaka madaraka, anachoongea hata mwenye mtindio wa ubongo anajua kabisa ni uongo.

Lol

Mtu shingo iungane na kidevu halaf utegemee azungumze vya maana.?😂😂

Maanina!!

Am sure baadae aliposikiliza hiyo video clip alijicheka moyoni kwa Uongo wake uliokidhiri

Hii unaweza ukasema edit kumbe sio edit ni ukweli mtupuu😂😂😂😂

😂 Hii nchi kila mtu ni TAPELI.

Huyu naona alisikiliza wimbo wa prof jay "ndio Mzee" kabla ya kuja hapa 🤣

Ila piter

Dah!! 😂😂

Dah 😂

Eeeeeeee

mavi kabisa huyu jamaaa apanda jukwani wakati ametoka sikiliza nyimbo ya profesor jay nini

Nnavyosikiaga wakisema wakili msomi nkajuaga utimamu na welevu, asa huyu kanisanua, wa hovyo kumbe ni wengi

Sijawahi kumuona wakili muongo

Aliyetengeneza hii vdeo peponi atapasikia tuu😂😂😂

Bro @PMadeleka kwani "unachomaga" ?

😀😃😃😃 duu, hii kali ya mwaka

Afu niende eti kusikilizwa campaign!!!!

Sijajuaga kama huyu jamaa nae ni punguani

💔😅

ila kampeni🤣

Hahaha

Pumbavu kabisa ww mwenywewe huna hilo ghorofa

Hapo ni Serengeti ndio zilikuwa zinaongea.

Kachanganyikiwa

Yan ckutegemea kabisa

Sioni kama kunatouti yoyote na wazee wa ubwabwa.
