Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚CCM Oyee

90,777 views โ€ข 2 years ago โ€ขvia X (Twitter)

9 Comments

B'bojick Sรƒล˜ลถรƒ's profile picture
B'bojick Sรƒล˜ลถรƒ2 years ago

Wahuni wa mitaa ya bondeni na kaloleni๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Frank Shusha's profile picture
Frank Shusha2 years ago

๐Ÿ˜„ ajabu ni kwamba huyu nae baadae alikuwepo kwenye maandamano its written kula ccm kulala chadema

Kaka Poli #Mkwanzania's profile picture
Kaka Poli #Mkwanzania2 years ago

Huyu mwandishi aliyemhoji huyu jamaa inabidi arudi kukusanya tena maoni upya baada ya maandamano ili ajue kama kuna balaa lolote limemkuta!

Tanzania Digest's profile picture
Tanzania Digest2 years ago

Farewell, Mzee Rukhsa. Granting public servants access to own property and private business was a sacrifice. His legacy is seen as a complex blend of progress and challenges. His reform approach leaves an indelible mark on the nation's history. Read:

Kikokotoo's profile picture
Kikokotoo2 years ago

Huyu chalii aliye vaa opp mbona tulikuwa naye kwenye msafara kwaanzia mbauda dah kweli LEMA anajua aliwaambia chukueni kibunda kisha mtajua chakufanya ndiyo hiki sasa mwamba anapinga kwenye secreen kwenye msafara yupo dah

Full tank's profile picture
Full tank2 years ago

๐Ÿ˜„ hapo ndo xxm walipocheza karata yao vizuri ya kutengeneza wajinga ili kuwatumia kama hivyo,Mungu na mitandao itawaumbua

Jack bauer's profile picture
Jack bauer2 years ago

Huyu jamaa anasababusha wahuni tuonekane hatuna akili mbwa huyu

Leah Mollel's profile picture
Leah Mollel2 years ago

walitusaidia sana kutangazia umma maandamano yetuโœ๏ธ

Winga wa uhai๐Ÿ™…๐Ÿพ's profile picture
Winga wa uhai๐Ÿ™…๐Ÿพ2 years ago

yan unaona kabisa walivopangwa..hoja zao sasa watoto wanaend shule na wao wanakula๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚shule hakun madawati mitoto zero kila siku chakula wanakula afadhali na mbwa wangu khaaa hii nchi aliyeturoga alitumia dawa za kiwang cha juu

Related Videos