正在加载视频...

视频加载失败

😂😂😂😂😂😂😂😂😂CCM Oyee

90,780 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)

9 条评论

B'bojick SÃŘŶÃ 的头像
B'bojick SÃŘŶÃ2 年前

Wahuni wa mitaa ya bondeni na kaloleni🤣🤣

Frank Shusha 的头像
Frank Shusha2 年前

😄 ajabu ni kwamba huyu nae baadae alikuwepo kwenye maandamano its written kula ccm kulala chadema

Kaka Poli #Mkwanzania 的头像
Kaka Poli #Mkwanzania2 年前

Huyu mwandishi aliyemhoji huyu jamaa inabidi arudi kukusanya tena maoni upya baada ya maandamano ili ajue kama kuna balaa lolote limemkuta!

Tanzania Digest 的头像
Tanzania Digest2 年前

Farewell, Mzee Rukhsa. Granting public servants access to own property and private business was a sacrifice. His legacy is seen as a complex blend of progress and challenges. His reform approach leaves an indelible mark on the nation's history. Read:

Kikokotoo 的头像
Kikokotoo2 年前

Huyu chalii aliye vaa opp mbona tulikuwa naye kwenye msafara kwaanzia mbauda dah kweli LEMA anajua aliwaambia chukueni kibunda kisha mtajua chakufanya ndiyo hiki sasa mwamba anapinga kwenye secreen kwenye msafara yupo dah

Full tank 的头像
Full tank2 年前

😄 hapo ndo xxm walipocheza karata yao vizuri ya kutengeneza wajinga ili kuwatumia kama hivyo,Mungu na mitandao itawaumbua

Jack bauer 的头像
Jack bauer2 年前

Huyu jamaa anasababusha wahuni tuonekane hatuna akili mbwa huyu

Leah Mollel 的头像
Leah Mollel2 年前

walitusaidia sana kutangazia umma maandamano yetu✍️

Winga wa uhai🙅🏾 的头像
Winga wa uhai🙅🏾2 年前

yan unaona kabisa walivopangwa..hoja zao sasa watoto wanaend shule na wao wanakula😂😂shule hakun madawati mitoto zero kila siku chakula wanakula afadhali na mbwa wangu khaaa hii nchi aliyeturoga alitumia dawa za kiwang cha juu

相关视频