Chanzo ni huyu 🥴
86,858 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Audax kivike1 年前
Usikute mchungaj huyu ndo syo tapel

Albaab JN1 年前
Huu umekaa kimkakati sana, kwamba wakienda aseme nilisema wakiacha migogoro wakikwama aseme walikua na migogoro🤣. Hii imekaa kitaalam sana

Rock Paper Sizzle1 年前
🇺🇸 One Nation, under Trump, Stronger THAN EVER. Are you Trump Tough? 💪Tough T's Here:

Eli Njex1 年前
Kuanzia Leo, huyu mchungaji atafutwe aletwe mbele yangu atabiri je, nitafanikiwa kumuoa Binti nilie nae au atanipiga chini? 🙄😂

George Munisi Jr1 年前
Kumbe utabiri ulishatolewa lakini bado kuna watu walikuwa wanapingana nao

Master of sErmon1 年前
Mtumishi wa Mungu hatuna lakukupinga

Rony1 年前
Huyu mchungaji apewe maua yake😂😂

UBAYA UBWELA1 年前
Duh atapata ujiko kama uto watakosa goal

Aziz Juma1 年前
Mwambie aweke lipia namba😁😁😁

kidume2661 年前
Wakristo wanasema mtu akitabili na ikatokea kweli huyo anaitwa nabii eti ni kweli

