Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Chidi kwa kupanic🙌🏾
21,156 görüntüleme • 1 ay önce •via X (Twitter)
25 Yorum

😂😂😂kwamba chid ni wakuj na wakat anaimba alikuwa anawaimbia wenye mji ambao ndo akina doto

That part😂😂😂😂😂

Chid Anaongea Ukweli Kilichomfanya Watu Wamfahamu Ni Art Yake Ayo Mengine Ni Challenges Za Kibinadamu Ila Dotto Yeye Anaenda Km Chawa Sijajua Km Ni Kipaji Pia Au Vp!!! 😄😄😄

He was right lakini hasira za mganga😂😂

Chid Ana Hasira Ndio Ila Mwana Ni Smart Sana Kichwani Na Still Ni Talented Na Anapendwa Pia 🙌🏼🙌🏼🙌🏼

Angekuwa tu calm

Siunajua Binadam Tuna Tofautiana Na Apo Wote Sio Watu Wanaopenda Kujishusha Na Ndo Maana Kuna Mtu Alikua Anamwambia Dotto Akaushe 😁😁😁

Dotto anamwambia we unaimba "we mrembooo"

Yani Dotto anaongea jamani anamuua Legend anamuuliza hizo tuzo zimekusaidia nini😂😂😂😂

Anampandisha kisukari Baba wa watu nimecheka sana😁💔

we unaimba mrembo 😂

Chidi angerelax tu hawezi ku win na mtu ka Dotto😂😂

😂😂

doto anamjaza chidi😂😂 sema hatimae leo chid kakutana na mbabe 😂😂

😂😂😂hamuwezi huyo mzaramo

Kukaba watu ndio ujanja dah

Huyo nae si ndio usingizi mwengine

Doto magari hayupo sawa Yani kukaba watu ndio anaona mjanja mtoto wa mjini😂

Doto ana maneno yakukera sana😂😂😂

Ivi doto alikuaga kibaka kweli ? 😂😂😂

Huyu Dotto simfagilii Wala nini, chawa Mmoja mbwa kabisa

Ujinga ujinga tu, wamekutana pipa na funiko

Wanabishana nani mshamba na nani si mshamba? Haya atakayeshinda anapata nini? majibizano mengine ujinga tu

😂

Ila Dotto…Kama uwaraza umekuanza umri mdogo tucheki, minoxidil serum inaotesha nywele kwa wanaume
Benzer Videolar
Not everyone understands HOUSE! ❤️🏡🎶 Kwa Mama - Atmos Blaq 🔥🙌🏾
7 Hertz
33,465 görüntüleme • 3 yıl önce
