Loading video...
Video Failed to Load
Chombo Inapepeaaa Haswaaah🙌
11 Comments

June mwaka jana natoka Znz kuja Dar nilikuwa na mwanangu, bahari ilikuwa imechangamka mnoo Jamaa angu alikuwa katulia mnoo.. Tumefika Dar ananambia ametuma fedha zote alizokuwa nazo kwenye account kwa ndugu zake, alidhani hiyo ndy ilikuwa siku ya mwisho. Nikampa nauli ya boda😀

Humo ndani kama sio mwenyeji wa safari za maji unaweza lia machozi, alafu wazawa wanafurahi tu😄

Se llama @claseflix. Acá les dejo el link 🎬📚

Aliyechukua video alikuwa kwa Azam/Kilimanjaro marine

Kwa ambaye hajawahi safir majin anaeza dhani wanaenjoy

Sema hawa nao mabio tuu watu wanafika wamechoka taaban kumizana maini tuu

Ukiwa humo ndani mkristo unashahadia muislamu unasema kwa jina la baba hatri ukute bahari imechanganyikiwa ukifika home Hadi maji ya kunywa utayaogopa

Sipanda ng'o

Hii nungwi itakuwa

Hii kitu inanikumbusha safari ya Nyamisati to Mafia, June 2014. Moyo wangu ulikuwa juu juu, nahodha alikuwa anazima engine kwa ajili ya kubalance Boat, kuna mmasai 1 alikuwa ni kutapika na kuharisha😄, wakina mama ni kilio almost 30 min. Nikasema June si mwezi mzuri wa kusafiri.

Aiseee
Related Videos
Botswana's Minister of Youth and Gender Affairs Lesego Chombo
YourServant
141,730 views • 6 months ago
