正在加载视频...
视频加载失败
Wahuni Mara Ya Ngapi Hiyoooo…..!??? 😁😁🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😁😁
11 条评论

Sema wahuni bhana😂😂

Wanakichafua hatari

Looking to spice up your love life? 🌶😏 Meet our one-of-a kind Coconut Love Oil 🥥 made from ✨100% organic ingredients.✨ It tastes and smells like a vanilla cupcake 🧁 and doubles as a massage oil to really get the mood going, if you know what we mean.

Huo wimbo ulishawahi kuniharibia shamba langu la mihogo 😀

Sema haya makitu yako na vibe sana,ni vile watz tumejaa ego sana,tunayadogodisha na kuona ya aina fulani ya watu,ila yangeweza sana kutambulisha nchi popote!!

Mm nayakubali since day 1

Kwenye hizo Show Usiende na Simu 😆

Oyaa.. hapa sim acha nyumban vaa kama unaenda job tena la kujenga 😂🤣 utaenjoy 🙌🏾

Kuna shekh anaenda kuchuma majani na kanzu yake ya njano sio poa 🤣🤣🤣

😂😂😂 hii show ukienda na stress zote zinaisha

Kama unashamba eneo hilo wakudai fidia anajulikana
