Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Chuganian Republic Wahuni Wa kusini 😁

29,050 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)

10 Yorum

wakuja profil fotoğrafı
wakuja2 yıl önce

Kati ya Chalii wa R na Miso Misondo wapi unakubali style zao. Video kwenye comment 👇🏾😁

Ndaga Esq profil fotoğrafı
Ndaga Esq2 yıl önce

Hao machalii chai tupi ona kazi za wahuni wa kusiji inaonekana wanaweza kwenda kupiga show hata Uruguai hao.

Agnostic profil fotoğrafı
Agnostic2 yıl önce

miso wanaruka na ngoma yoyote bila kubinua Tako juu

Mshale profil fotoğrafı
Mshale2 yıl önce

aisee nashindwa kutofautisha wote ni watam

wakuja profil fotoğrafı
wakuja2 yıl önce

Hapo umenena

Mtanzania profil fotoğrafı
Mtanzania2 yıl önce

Wahuni wamekalishwa asbh na mapema kabisaaaaaaa. Miso noma na nusuuuuuu

Machado Kaka profil fotoğrafı
Machado Kaka2 yıl önce

Misondo mtu kazi hao chuga stan hamna lolote kuna vitu vinatembea vichwani mwao😁😁😁

Tevin profil fotoğrafı
Tevin2 yıl önce

Miso ni nooma na hawana kiki

Michael fulgence profil fotoğrafı
Michael fulgence2 yıl önce

Miso all day

𝐍𝐲𝐚𝐫𝐢𝐬 𝐎𝐧𝐞 profil fotoğrafı
𝐍𝐲𝐚𝐫𝐢𝐬 𝐎𝐧𝐞2 yıl önce

Wote hawa walikuwa wana muhanya Dangote 😂😂

Benzer Videolar