Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Chukua hiyooo……tuondoke babaaa!!
10 Yorum

halima wahabu1 yıl önce
Hii hapa mkaisome uzuuri

ManSimba1 yıl önce
Tumeichukua hiyo,maana tunajua kuisoma vizuri ! Madhalimu Sasa watatukomaaa! Ahsante shekhe Lusaganya,mwisho wao umefika

𝘾𝙝𝙖𝙧𝙡𝙚𝙨 𝙗𝙞𝙘𝙠 211 yıl önce
Kwa wakristo soma zaburi 1 mpaka 115 mara 75 kila siku mara tatu. Chukua iyo 😂

Upupu 🇹🇿1 yıl önce
Kama siwezi kuisoma nikiisikiliza mara 73 na kila baada ya mara 10 nikitaja jina lake si ni imoo?

Mswazi Smart1 yıl önce
Kila kitu kina code yake utaalam wa kutumia code hata Mungu aliuweka sabini ile ya saba mara sabini ambayo ilitajwa kwenye kile kitabu. Tumia code kuomba tumia code kuonyesha ni msaada gani unautaka kwa Mungu. Kila mtu anaomba ila unaombaje ndio muhimu.

𝐉. 𝐉.1 yıl önce
Huu ni UZUSHI hakuna dalili ya jambo hili. Si kiingine hiki ila ni Usufi tu.

Allythirteen1 yıl önce
Hiyo hapo msoweza kuisoma

𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚1 yıl önce
Naaaam

street cat1 yıl önce
Basiiiii mmekwisha

WOLFGANG1 yıl önce
Point muhimu sana hii
