Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Congo ๐จ๐ฉ sio kongowe๐๐๐๐๐
18,246 Aufrufe โข vor 19 Tagen โขvia X (Twitter)
22 Kommentare

Kigamboni hiyo, sio hata mbali, 600m kutoka daraja maarufu la nyerere๐๐

Mkuuuu hapo sio bongo ni Malawi ๐ฒ๐ผ sisi tusasafisha mitaro

Malawi sio poa, halafu mji mkuu.๐

Malawi ni shidaaa

Ukiskia kukalia ndiyo huku sasa

Mitaa ya Kisangani kongo mashariki.?

Mkuuu huku kiumeni haswa

Hiyo Kongo sijui lini watasuka hizo Road sio poa

si una tupa gari

Huwezi huku unaenda nayoo

na ina pita na kongo mvua hazina msimu

Duuh Io itatoka kweli

Anachimba madini mengiii alaf barabara za miaka ya 70๐

Noma

Africa utadhani Ina laana

Arafu ndo nchi tajiri africa

@suleiman42776 DRC shamba la bibi lilie, siku DRC ikipata uhuru wa kweli na kiongozi mwenye misiamamo, kuna nchi zitaumbuka

@munyamambogo Itatokea kweli!!!!!

Daaamn!

๐๐๐๐

๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ

Duuh oya ๐๐
รhnliche Videos
Sensitive content
Eti wanaume mnawezaje??? Kwani ninyi hamchoki?? ๐๐๐๐
Ms Bee๐น
153,903 Aufrufe โข vor 2 Jahren

