Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Ili sio tumbo la binadam🙌🙌🙌
24,196 görüntüleme • 19 gün önce •via X (Twitter)
33 Yorum

Itakuwa anatembea na misukule anakula nao maan anakula ila kamwil km fimbo

Ni content tu,,,hicho chakula sio kweli amemaliza mwenyewe,,,,

Mi huyu mpaka nione anakula live anamaliza aisee😂😂hivi hivi hapana

Uroho tu 😂😂😂

Kwan anatenda ya mavi sehemu🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Eeeh demu wake @sapro_phyticus 😂😂😂

Hata hivyo kajitahidi sana

hivi anakula kumaliza kweli au michezo ya kamera

Uwa amalizi iko chakula

😁😁😁😋

Hyu aki enda kunya lazma uite gar la maji taka😂

content huwa hakali kila kitu

Chakula anachokula kinaenda wapi 😂

Ni stoo

Sema namkubali sana huyu dada, kachagua starehe ya faida kabisa 😃

Kwani hichi kidemu ni kinani

Michezo

nashindwa kuelewa

Toto Linakula balaa😂🙌

Huyu anaweza Kula mtoto huyu njaa hii njaa gani au ya AI kwenye 5G☝️😧

Editing hiyo aoneshe Mwanzo mwisho anavyo kula tumuone...

Huyu anajiendekeza Sana mshenzi 😁

🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

Akinya kumala mamakee anajaza ile pot ya chooni mara moja

Mwenzetu anaumwa huyu tumuombee

Ogopa vidada vyembamba kwa kula 😂

Anakolomeloo 😂

Kuna watu huwa hawatafakari hata kidogo kila wakionacho wanaamini kama kilivyo hasara sana taifa hili

Michezo hiyooo

Atakua ana edit,japo watu wembamba sana wana matumbo ya mgongoni..

Michezo

Alikuwa magereza au??

Content
