Video yÃŒkleniyor...
Video YÃŒklenemedi
Congo ðšð© sio kongoweððððð
18,246 görÃŒntÃŒleme ⢠22 gÃŒn önce â¢via X (Twitter)
22 Yorum

Kigamboni hiyo, sio hata mbali, 600m kutoka daraja maarufu la nyerereðð

Mkuuuu hapo sio bongo ni Malawi ð²ðŒ sisi tusasafisha mitaro

Malawi sio poa, halafu mji mkuu.ð

Malawi ni shidaaa

Ukiskia kukalia ndiyo huku sasa

Mitaa ya Kisangani kongo mashariki.?

Mkuuu huku kiumeni haswa

Hiyo Kongo sijui lini watasuka hizo Road sio poa

si una tupa gari

Huwezi huku unaenda nayoo

na ina pita na kongo mvua hazina msimu

Duuh Io itatoka kweli

Anachimba madini mengiii alaf barabara za miaka ya 70ð

Noma

Africa utadhani Ina laana

Arafu ndo nchi tajiri africa

@suleiman42776 DRC shamba la bibi lilie, siku DRC ikipata uhuru wa kweli na kiongozi mwenye misiamamo, kuna nchi zitaumbuka

@munyamambogo Itatokea kweli!!!!!

Daaamn!

ðððð

ð¥ð¥ð¥ð¥

Duuh oya ðð
Benzer Videolar
Sensitive content
Eti wanaume mnawezaje??? Kwani ninyi hamchoki?? ðððð
Ms Beeð¹
153,903 görÌntÌleme ⢠2 yıl önce

