Loading video...
Video Failed to Load
Daaa jamaa kavumilia sana
40,385 views • 2 years ago •via X (Twitter)
12 Comments

Kama una hasira usiangalie hii unaweza piga ukuta ngumi 😁 Ungekuwa ww ungefanyaje hapo? Cheki video chini hapo

Ukaelew manz alitak jamaa apanic ampige ata af amgunglie case alipwe hela manzi anatafut ela apo

space meets sound

Wamefanya drama isiyokua na maana! 1. They sh’d ve called flight attendant at first place. 2. People says huo ni “ubaguzi”, km sio staged, maigizo ; huo ni “Ushamba tu wa huyu mdada”. 3. Business class mara nyingi wanaopanda hawatumii hela zao za mfukoni, ni hela za taasisi zao. Hivyo mjaji mtu ni uwehu. 4. Dada angegoma wangęmshusha, ndege isingeondoka bila kumtoa.

Jamaa kaepukana na majaribu shetani noma sana .. ulikuwa mtego huo 😜

A KAREN 😳😅 WHO IS KAREN Wanawake wenye makelele, wabaguzi, fujo, hasira, uongo kupitiliza for no reason

Hanna bhana huyu dada ndio anatoa vibonzo kama hv.kuna 1 hv kamkataa mjeda mwenye mtoto Hadi akashushea yeye ni vibonzo tyuu

Awa wanawake weacha tu sijui wanamajini mwenyewe ishawah Nikita io

Ningekuwa kituo cha polisi cha airport muda huu.

Jamaa ana kiwango kikubwa sana cha uvumilivu,

Wazungu wana raha vicha wanakata first class kwa ndege

Wanawaheshimu sana wanawake, kibongo bongo amgesharushwa mbali kule
Related Videos
Sensitive content
Huyu jamaa anaongeaga vitu points sana!!!
WHYMYCATISSAD
20,442 views • 1 year ago
