Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Daaaa alikuwa mgojwa au
91,082 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

NAHISI ALIJISIKIA VIBAYA UKIMUANGALIA MDOMO KAMA ALIKUWA ANAMWAMBIA KITU HUYO MPAMBE WA RAIS NDIYO UBINAADAM HALI INAWEZA KUBADILIKA WAKATI WOWOTE MUNGU ATULINDE KILA IITWAYO LEO

you never heard this before

Maskini wanachokaaaaa 💔

She is not sick!Hii inaweza kumtokea mtu yoyote.Inaitwa orthostatic/postural syncope,mara nyingi hutokea wakati damu inapokusanyika kwenye mishipa ya miguu,na kusababisha shinikizo la damu kushuka ghafla na kupunguza mtiririko wadamu kwenye ubongo. Chezesha vidole vya mguu kuzuia

Unazani ni kazi rahisi kumsimamia mtu anaongea mpaka uongo .

Huyo ni binaadam sio roboti

Iliwahi kunikuta hii nikiwa mahali kama OC guard ya kwanza kwenye rehearsal

Bahati mbaya inatokea Mungu ampe..nguvu

Kusema ukweli nilichokiona wakati mama anahutubia huyo mlinzi alisimama kwa ujasiri wa hali ya juu hadi akapitiliza kuna ila hali unafanya kitu unakua zaidi ya serious nadhani ndio kilichomsababishia kuishiwa nguvu mapema alf nadhani ndio ilikua mara yake ya kwanza kama sijakoseq

Kama Mtaalamu wa afya ni muhimu kina mama kucheki Hemoglobin level zenu Mara kwa Mara. Halafu maji ni muhimu sana. Unakuta mdada anakuja hospital unampima unakuta hemoglobin iko chini unashangaa hata kutembea amewezaje? Kina dada take care ya afya zenu.

Kazi ngumu sana hiyo hawapumziki hao..Muda wote wapo kazini
Ähnliche Videos
Sensitive content
Daaaa😹?😝😝
Maria
13,181 Aufrufe • vor 2 Jahren
