Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Daah! Huyu Kipa au Kipara 😅
91,777 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

Kunta Kinte2 лет назад
Timu ikicheza na Simba, wachezaji wake wanaahidiwa kitita wakishinda na wakicheza na Yanga, wanaahidiwa kitita wakifungwa.

Baba Jack2 лет назад
Leo wanacheza abdala na dulla 🤣🤣 Hatuwezi kushangaa

Six6Ghost2 лет назад
Huyu nae vp😂😂

Massawe012 лет назад
Msimu huu Tulipanga tushinde Goli moja moja ila Midomo yenu imewaponza.!!😂

Malugu2 лет назад
Timing tu, deflection imeharibu makadirio yake. Usilinganishe mwendo wa mpira na mwendo wa mwili, mwil ni hadi ufanye maamuzi

Doctor Pain2 лет назад
mbona Azam hua mnajipigia tu.. Lakin wakicheza na Yanga inakua mechi bora ya Msimu

it's.262 лет назад
Bahasha kubwa sana hilo

Sports HQ2 лет назад
Imethibitisha Umepokea Sh 🤣🤣

Kilinako Zegeli Shengelo2 лет назад
Hujui hatari ya deflection

Msofe Jr👮2 лет назад
Gsm kwa gms utasikia boss anasema Yanga bingwa 🙄🚮
Похожие видео
3:02
Sensitive content
Eeeish🤣🤣🤣💔💔💔sasa huyu tumfanyeje jamani? Hivi anachosema ni sahihi? Daah🤣💔🏃🏻
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻♀️❣️
28,791 просмотров • 1 год назад
