正在加载视频...

视频加载失败

🗣Dada Sanamu Lake Lijengwe Wapi....?

48,831 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

Gwanyakanga 的头像
Gwanyakanga1 年前

Broo umeniponza nimeifungua kwa saut nipo na wife tunamalizia kula daku umefanya ninyimwe tamu,,,, ila poa sisi ni people

Don Punchline86 的头像
Don Punchline861 年前

Labda baadhi ya wanawake wa kiislamu hawa wetu wa msalaba kishasoma na degree yake moja? Weee utachambua utafikiri hela zake kumbe zako! I am Christian lakini wanawake wetu wamekuwa wazungu zaidi kuliko uhalisia hasa waliosoma!

Hammy 🐦 的头像
Hammy 🐦1 年前

naona kila mkoa unavutia kwake kwanini tower lake lisiwe refu zaidi duniani mpaka kina kasongo na musaba na mtata kagameee walione

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

wanna hear a new song?

PÅNYÅ 的头像
PÅNYÅ1 年前

Hawa ndo waliofundwa sio hawa nguchiro wengine wanaosema haki sawa

PRIEST 的头像
PRIEST1 年前

Ujenzi wa Sanamu lake ukianza,Ntajitolea saidia fundi

Ordinary Citizen 的头像
Ordinary Citizen1 年前

Likakae clock tower Arusha, pale walipochoma Ng’ombe 400.

John Madereke🦏 的头像
John Madereke🦏1 年前

Nitachangia Cement na Nguvu zangu, eneo likipatikana nijurishwe.

OleMooshe Ngobei 的头像
OleMooshe Ngobei1 年前

Lijengwe maeno ya mnara wa mwenge,Arusha.

Dymitry 的头像
Dymitry1 年前

Sema sasa unakuta Mme wake huyu ni mm Anyway acha nikae kimya😉😀😀

BekaBOY 0.1 的头像
BekaBOY 0.11 年前

Dodoma pale