Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Huyu NABII kanisa lake liko wapi?

41,976 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von Mr Health💊💉
Mr Health💊💉vor 1 Jahr

Hakika Asilima 90 za watoto wa @tanpol Ni matatizo, Hili na Liunga Mkono... Laana ni mbaya sana, Usiombe ikutafune....🫵

Profilbild von theophiltz
theophiltzvor 1 Jahr

au father angu mdogo nae alifanya haya maana life halijawahi kutulia toka akiwa kazin hadi leo yani kila anachofanya ni majanga + watoto

Profilbild von Chelsea
Chelseavor 1 Jahr

Alishasema magufuli atakufa kwa mafumbo wakat wa jiwe.

Profilbild von Baba Voss
Baba Vossvor 1 Jahr

Huwa siamini sana haya mambo ya manabiii sijui ila kuna hawa wachungaji ukimskiza akiwa anaongea unaona huyu mbona kama sio tapeli alafu anaongea kama mtu mwenye upako flani..anyway jamaa unaweza mskiza ata kwa masaa kumi anaongea kwa mamlaka sana

Profilbild von Mlowe, Thadei
Mlowe, Thadeivor 1 Jahr

Sisi ngoja tumshitakie Mungu aliye juu. Naomba viongozi wa dini mtangaze kufungua na kuomba juu ya mambo ya fuatavyo: i)Kwaajili ya waliouawa ii)Waliotekwa(kupotezwa) iv)Kufungwa kwa kuonewa

Profilbild von Mr ubuntu
Mr ubuntuvor 1 Jahr

Mbezi beach

Profilbild von fm_☄
fm_☄vor 1 Jahr

Hii ni sahihi. Take time to research it uone uhalisia

Profilbild von Mtanzania Kaka
Mtanzania Kakavor 1 Jahr

Its a simple karma

Profilbild von Garnet
Garnetvor 1 Jahr

Mm Muislam, mambo kama haya ya kupeana ukweli ndio nataka kuyasikia kutoka katika dini zote na sio uchawa na kupigana majungu

Profilbild von Atanat Willian
Atanat Willianvor 1 Jahr

Demu wa mwisho nilidate mtoto wa askari. hmm, tuyaache. ni majanga. Anyway hawa maaskari wanaoteka na kuua wanadhani hii dunia ni yao na Samia na mapete ndo Mungu wao. Haya. Yetu macho.

Ähnliche Videos