Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Dakika 45 jumatatu.

22,700 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля Teflon Don
Teflon Don1 год назад

Mwamba huyo🫡 No blackmailing here If you think you're more prominent than the party jaribu uone ilivyo ngumu.

Фото профиля Hakizimana🇷🇼
Hakizimana🇷🇼1 год назад

Hiki kipindi kinaweza kisiwepo mark this tweet!

Фото профиля Abedi's Sunday
Abedi's Sunday1 год назад

Nitaangalia kwa mara ya Kwanza ITv

Фото профиля Adili Inyasi Mtei
Adili Inyasi Mtei1 год назад

Kanyaga twende mpaka kieleweke " tumaini pekee la watnzania lilolobaki"

Фото профиля BOB
BOB1 год назад

@Mwitah_tz @Nkololotz wakuu mnasikiliza madini haya jamani ukweli mtupu, tunaomba mchangie maendeleo hayana chama

Фото профиля Sha Mwenda
Sha Mwenda1 год назад

Pamoja sana kiongozi

Фото профиля Hi Poiz
Hi Poiz1 год назад

Kwa mara ya kwanza nitaangalia ITV

Фото профиля Fadher d
Fadher d1 год назад

Mnapambana sana Mungu awalinde na awasaidie kwa ajili ya watanzania yaani unaongea jambo mtu unaona kabisa linatoka na dhamila ya ndani

Фото профиля Jackbawa🌍🗿
Jackbawa🌍🗿1 год назад

Tutakuwepo hapo live 🤝

Фото профиля Baraka Mfilinge
Baraka Mfilinge1 год назад

Hii si ya kukosa kabisa

Похожие видео