正在加载视频...

视频加载失败

Dakika 7 za kimasta sana hizi.✌🏾🫵🏾

45,989 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Nimesikiliza mpaka mwisho aisee 🙌 Nafurahi sana mwizi akikamatwa! Juzi Mdogo wangu aliibiwa Simu akiwa Chuo, alihangaika Na polisi wakaipata sema Mwizi bado anatafutwa🙌

pegwaboy 的头像
pegwaboy1 年前

Mkuu habar sorry naomba Msaada ndugu sativa mama angu amelazwa hapa general hospital Dodoma shida ni kuna maji kifuani pia na Kama yanausaa wakimtoa

Blue Nelson 的头像
Blue Nelson1 年前

mwizi mwenyewe nae alikua hajielewi, sio kazi yake itakua aliingiwa na tamaa tu ad akaiba

pegwaboy 的头像
pegwaboy1 年前

Inahitajika laki moja na elfu 25k lakini mi Mpaka sasa Nina elfu 73k naomba Kama utaguswa na chochote mama angu aendelee kupatiwa matibabu 0742974692 napegwa venance 🙏

Elly 的头像
Elly1 年前

Uyo sio mwizi😂 au watu hawaangalii movie za Ulaya😂 unakubali meet up na umeiba simu?

Ochu. 𝕏 的头像
Ochu. 𝕏1 年前

Huyo mwizi namba D

Supu ya Pweza 的头像
Supu ya Pweza1 年前

Je tusio na iphone hiyo cloud twafanyaje sasa🧐🤔

Evangelist Essau Abraham 的头像
Evangelist Essau Abraham1 年前

Ww sativa mbona story ndefu hv?🤔🤔🤔

Unc Jerome 👤 的头像
Unc Jerome 👤1 年前

unakosa Amani kisa 600K

Compyuta 的头像
Compyuta1 年前

@Medy_Nassoro Gift mrangi unamkumbuka!?

相关视频