Sensitive content
This media may contain sensitive content.
Loading video...
Video Failed to Load
Huyu Dada alitoa hii code dicember ila leo nikashikwa kichwa nikamkumbuka😂😂 Ubarikiwe sana Mwanadada!
143,494 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Kadem kazuri ila kashirikina

Aribau Grotesk typeface #font #typeface #typography #barcelonastreets #Casanova #Muntaner #Aribau #EnricGranados #Balmes #Ramblacatalunya

Nyie huo ushirikina wenu wa kikuma kuma eti ndo mnafanya maagano!? acheni kuchezea maagano, mtu ametoka kwao kazikiwa Ngamia,mtu ng'ombe kachinjwa huko,watu wamezika kichwa cha kondoo af uje uongee kirahisi ati sjui utosi sjui nyoko nyoko.

Huyu mchawi tu bhana sisi tunashika kwasababu nywele zinasisimua😂

Nilimuandikiaga huu ujumbe mwezi wa NNE tunaanza vikao vya harusi 😆🙌

Aaaaaah uongooooo

Kwamba watu hawana imani ya Mungu sio kwanza wengine tuna mizimu ya kwetu siwezi beba hayo maagano yake

“USIMUACHE MWANAMKE MCHAWI AISHI.”

UNAKEMEA UKU UNAZINI !!😂😂😅 IYO DUA ITAFIKA KWELI DADA?? 😅😅 ENEWEI UMENIFUNXA KITU

huyu manz asaivi yupo ulaya aliolewa na mzungu ni jirani yangu kabisa

Mwaname ni mwanaume tu akiamuan akuna kuyumbishwa ata mfanye nini
