正在加载视频...

视频加载失败

Dereva kanikosha sana!! 🖐️

47,500 次观看 • 7 个月前 •via X (Twitter)

33 条评论

Frank Frankfrancis 的头像
Frank Frankfrancis7 个月前

Nilipokuwa nafata cement dangote Mtwara sikuwa naweza acha watoto road mpaka nihakikishe wamejaa ndani,, watoto wanatembea km nyingi sana kufata shule ilipo usipokuwa na moyo wa huruma basi wewe ni zaidi ya GAIDI.

CHEEUUUSIII🇮🇷 的头像
CHEEUUUSIII🇮🇷7 个月前

Shida ni jamii inaweza kumporomoshea jumba bovu dereva kwa ulawiti

munissi 的头像
munissi7 个月前

Punguzeni misaada hasa hawa watoto wadogo tena wakike usipakie kbsa kama halijakukuta utaniona mpumbavu kwa maneno yangu Shauri yenu bora upakie Malaya ila sio hawa watoto hawa

APT0⚡️ 的头像
APT0⚡️7 个月前

Dereva kafanya wema ambao kila mwenye huruma angefanya ila tatzo jamii tuliyonayo🙌🚮 ikienda tofauti hapo ndo unakuja ule msemo wa wahenga "wema ajali, wema kumanyoko"

tata wakili(ADVOCATE ⚖) 的头像
tata wakili(ADVOCATE ⚖)7 个月前

Shida ni kesho anaambiwa aliwabaka Ndo huwa kimbembe

IbRaH 的头像
IbRaH7 个月前

Mtaani madreva lorry malaya😂

mkoleni 的头像
mkoleni7 个月前

Wakisema wamebakwa ndio atajua huruma sio malezi

Exaud Willy 的头像
Exaud Willy7 个月前

Ila hii kitu ni hatari sna watu wamekuwa wanymaa sna siku hzi

Market Vision 的头像
Market Vision7 个月前

Hajaiona HR wake hii mbona lidandasi kabisa, facr nikwamba kiubinadamu ni jambo jema sana ila iki turn vibaya tu inakulamba mara moja ni mungu tu aambatane na ulinzi juu ya wema huo

Blame the entropy 的头像
Blame the entropy7 个月前

Unakuwa ni wema safi mpaka atakapopewa kesi ya ubakaji/ulawiti

Abdulrazak Khalifa 的头像
Abdulrazak Khalifa7 个月前

Mshaada wa watoto wadogo ni hatari sana kwenye NCHI yetu unaweza jibebea kesi ya kuwalawiti na hakuna kitu unaweza kupinga

Third EyeKE 的头像
Third EyeKE7 个月前

They will end up being raped in that truck. No one is to be trusted near teens.

Deosparta 的头像
Deosparta7 个月前

sio salama kabisa wakipata ajali humo ?

PETER KIMATHI 的头像
PETER KIMATHI7 个月前

Show love and peace and Grace wherever you go that which you will share will come in abundance

The Kyejo 的头像
The Kyejo7 个月前

Duuu vizuri ila weka kamera pembeni mpaka unapowashusha ili uwe na ushaidi kabisaa kuwa haukuwabaka

Syonga Janja wa Tukuyu 的头像
Syonga Janja wa Tukuyu7 个月前

Misaada kama hii msipende kuitoa mkifika sehemu ambazo hamjulikani wengi yanawakuta maswaibu sababu ya hao watoto wanafunzi

Gudjow1 的头像
Gudjow17 个月前

Kuna Dereva aliwahi kupewa kesi ya ubakaji

TRUST GOD🙏 的头像
TRUST GOD🙏7 个月前

MUNGU ajalie NEEMA ktk safar zake na familia yake🙏

SONKO🌍 的头像
SONKO🌍7 个月前

Vipi kuhusu kiatu sasa?

Miracle Buddy 的头像
Miracle Buddy7 个月前

Hauchelew kupewaa kes ya kubaka..bongo jau

Mr Temperature 🤒🌡️ 的头像
Mr Temperature 🤒🌡️7 个月前

Hii kawaida sana kaka madereva wa malori huwa hatuwaachi hao madogo

To be remembered 的头像
To be remembered7 个月前

Bongo jau unaweza pewa kesi kisa kusaidia mm hv hapana

KAMIMI 🐐 🕘 的头像
KAMIMI 🐐 🕘7 个月前

@kilepi_tweve Ni kweli ila wazazi wajitathmini sana watoto wanakua hatarini kwa sababu ya mazazi kuamini mtoto amekua atafata maagizo

Sachet👋 的头像
Sachet👋7 个月前

Michezo hatari ii..huyu shetani anamuotea.

Mavugo Mavugo 的头像
Mavugo Mavugo7 个月前

mungu awalipe vyema madereva kama hawa

Filbert 🇹🇿🇩🇪 的头像
Filbert 🇹🇿🇩🇪7 个月前

Achana na watoto kupanda gari ila kama umeiona ZABURI 27 , basi ujue aliyemo moyo wake una matunda ya roho.

MKariakoo 的头像
MKariakoo6 个月前

Na hicho kiatu nd kimegoma kwenda 😅

Atanat Willian 的头像
Atanat Willian7 个月前

Wale wanaosema kuwasadia watoto wadogo ni hatari acha, na mbinguni unaambiwa nilikuwa mtoto nilihitaji msaada hukunisaidia. Hapo ndo vitu vinapoumana. hapo unawaacha inafika usiku kesho unakuta miili yao na ulikuwa na gari hukuwasaidia.

Syonangike 的头像
Syonangike7 个月前

Huyu ni Mzazi siyo tu dereva

kipunje jr 的头像
kipunje jr7 个月前

Hello 👋. Kwa huduma ya bando la HALOTEL usisite kunicheki Whatsapp & normal text 0769828709 Karibu sana 🙏 boss wangu

Marco Amasi Wawa🇹🇿 的头像
Marco Amasi Wawa🇹🇿7 个月前

hiko kiatu kimedondoka inakuaje

OWEH 🇰🇪🏴‍☠️ 的头像
OWEH 🇰🇪🏴‍☠️7 个月前

Hii ndo ibada sasa na hii ndo sadaka achana na izo za mwampo mnapangwa mafungu mafungu

Dickson Masanja 的头像
Dickson Masanja7 个月前

Zaburi 27:1 [1]BWANA ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? BWANA ni ngome ya uzima wangu, Nimhofu nani? 🥰

相关视频

Huyu Dereva wa Crown ameniangusha sana
0:38

Sensitive content

Huyu Dereva wa Crown ameniangusha sana

Adventure-360

127,052 次观看 • 1 年前