Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Dhana ya Mke mmoja imetokea wapi? Link:

44,339 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 11

Фото профиля LLOYD_PYPER🦅
LLOYD_PYPER🦅1 год назад

Nimesikiliza Interview ya Huyu jamaa. Nilichogundua ni kuwa Jamaa anaamini kuwa Mungu Yupo,Kitu ambacho hana imani nacho ni mitindo na njia zilizoanzishwa na watu wabaya,namna ya kufuata muongozo wake kwa maslahi ya kidunia. Unyenyekevu ndio njia sahihi ya kumuendea Mungu.

Фото профиля Ozabanga
Ozabanga1 год назад

Unaweza kuta huyu Chionda ndio nabii kaja kuikomboa Africa @EduTalkTz

Фото профиля Fadhili
Fadhili1 год назад

"kama mtu kapigwa ngumi ANASUBIRI taulo tu " tuko tepetepe

Фото профиля muafrika
muafrika1 год назад

envy of the black man penis 📌

Фото профиля Professional Dei waka
Professional Dei waka1 год назад

Envy of black men penis😅👐😅

Фото профиля Beka Junior🦓
Beka Junior🦓1 год назад

Tumepewa na Mungu yupi sasa wakati haamini

Фото профиля Sensibo
Sensibo1 год назад

📷 A tough day in the jungle—how does this sloth overcome it? The twist you didn’t see coming

Фото профиля LOS POLLOS HERMANOS 🍿
LOS POLLOS HERMANOS 🍿1 год назад

Kabisa ata mitume wengi awakuwa na mke mmoja 💯🤝

Фото профиля Vagaza
Vagaza1 год назад

Anaweza kusema huna dini ila ukiskiliza maongezi yake bas inaonyesha huyu ni mkiristo kwasabab bibilia ndo inasema suleiman alikuwa na wake hao katika quran suleiman anawake 99 na hakuwa na hawara mpaka hapo inathibitisha iman yake ipo wap.

Фото профиля Mwanayaya
Mwanayaya1 год назад

Nani aliyetuletea story za Suleiman na wake zake... Kitabu ichocho tunachotumia kujitetea ndio kitabu ichocho tunachosema wanatumia kutukandamiza...

Фото профиля ✾•◆hANs◆•✾
✾•◆hANs◆•✾1 год назад

Ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ujinga ⛑️🧠⛑️

Похожие видео