Skip navigation
Dogo kakua.
0:00 / 0:26

Dogo kakua.

Masaki

@selemasaki66K followers

Visit on X
368 likesDownloadOriginal post

35,465 views

Dogo kakua.

23 Comments

Comments from the original post on X (Twitter)

  • Muzina di Tata's profile picture

    @Itsmeofficiel

    Sio huyu yule dogo sio Mtanzania

    12 likes

  • Derick_kenzil's profile picture

    @DerickLungwa

    Mkuu acheni utapeli😁 yule chalii sio m’bongo ni mtu wa ghana. Wewe na huyu dogo wako mnaongea kiswahili matapeli wakubwa😂

    8 likes

  • Louis Nzalli's profile picture

    @NzalliLouis

    Acheni kutuchanganya. Yule kijana sio wa hapa Tanzania ni wa Ghana. Hadi kuna kipindi alikuwa anaumwa wadau nchini Ghana walichangia na akapata matibabu.

    3 likes

  • Mr. 𝙇𝙚𝙖𝙙 🦏's profile picture

    @PASB96

    So yeye, mshenzi huyu

    3 likes

  • SIRRA JR's profile picture

    @itango_emmanuel

    Yule sio mtanzania bana acheni janja janja, twende tukalime acheni kukwepa shamba

    2 likes

  • Attacking Midfielder's profile picture

    @cag_wa_mtaa

    Tapeli huyo😂😂😂 Yule makamasi hakuwa mbongo

    2 likes

  • Aloyce Samba's profile picture

    @AloyceSamba

    Huyo dogo anaitwa Albert Ofosu Nketia,raia wa Ghana.

    1 like

  • safari002's profile picture

    @JamesWa85222507

    Huyu angesaidika sana na hio video yake kama angepata wafadhili

    1 like

  • Jangili La Kimataifa's profile picture

    @Jangili_

    Wewe na huyo dogo wote mnapigwa miti yule dogo sio mtanzania

    1 like

  • 🦁𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 𝐎 ™'s profile picture

    @TherealBihemo

    R na L kwako tatizo

    1 like

  • Sadal Mtengwa's profile picture

    @SadalMteng25476

    Utapeli

    1 like

  • RQ's profile picture

    @ramadhan_qhadid

    Siyo uyo yule dogo ni raia wa ghana 🇬🇭

    1 like

  • Jodec Mzito wa TheGlenlivet🇺🇸🇻🇮's profile picture

    @johnpau10227488

    Anatembea na upepo sio yeye 😂😂

    1 like

  • m47❄️'s profile picture

    @Gabriesus10

    I thought he was Nigerian

  • Extreme Introvert🧕💫's profile picture

    @Sincerelyrahma7

    🔥🔥🙌

  • Chapo Guzmán 🇹🇿's profile picture

    @GuzmnChapo1

    mbna hawafanani

  • Filbert Roland's profile picture

    @roland4893

    Kijana alikuwa wa Ghana uyu msukuma mmemtoa wap

  • Giant _Junior's profile picture

    @MdebenNyabe

    Yule Dogo Sio Mbongo Anko

  • SAMWEL's profile picture

    @samweljoel13

    Uongo yule dogo ni mtu wa west Africa

  • Golden boy@G.B's profile picture

    @ErickTosha52002

    Daah