Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Kwa hiyo Dogo katukataa sio ?

79,702 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von tiba asili
tiba asilivor 1 Jahr

safi unamletea shobo mwenye akili anakujua wewe siyo mtanzania(manake unakunja mtonyo) afu yeye akufamyishe bure😂😂😂

Profilbild von Solar Heavy
Solar Heavyvor 1 Jahr

whoa thats crazy but have you heard this?

Profilbild von Luimussa
Luimussavor 1 Jahr

Uyu kilichomfelisha kujidai na yeye Star kisa Followers 1.5M 😆

Profilbild von ASKOFU🏥⛪
ASKOFU🏥⛪vor 1 Jahr

Mbona jamaa Alipiga picha Na bongo zozo, Na mwanae, iyo clip ipo ndefu ingia YouTube Mchek Jack Wa USA utaikuta Na ndo aliyewapga pcha

Profilbild von sir Jovan
sir Jovanvor 1 Jahr

Hapo kuna mtu hua namtilia mashaka sana ,ukute ni sleeper cell

Profilbild von balozi wa mbeya
balozi wa mbeyavor 1 Jahr

sijui wanajikuta wa kina nan

Profilbild von Saumu Yanga
Saumu Yangavor 1 Jahr

Aibuuuu😁😁

Profilbild von Micky ™
Micky ™vor 1 Jahr

Bendera ya tz kitu bhana, wabongo viherehere vingi sana.

Profilbild von Van De Ben
Van De Benvor 1 Jahr

Amekataa kwa sababu hapo anajua hao km wanakwenda kufaidika kwa yeye kuitangaza Tanzania wakt yeye hapat kitu na yeyy kashajiona ni BRAND

Profilbild von Sia Da Vinci💎
Sia Da Vinci💎vor 1 Jahr

Kadogo kana kaa na wanaume tu.

Profilbild von XĹ-istore
XĹ-istorevor 1 Jahr

Ndo jack?

Ähnliche Videos