Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Don't be fooled - part 3
51,989 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Jamaa ni genius tofauti na hivyo amini jamaa anajua vitu vingi tena deep habahatishi.🧠🙌

Don’t sleep on your chance to get first dibs on the epic OP3N adventure. Wishlist NOW!

The world history jamaa anaijua sana Ukweli upo hivyo yan....🙌

Amesoma kitabu kimoja tu kina muunganiko wa hizo details mimi nilikisoma nikaishia katikati nadhani yeye alikimaliza ndiyo maana amechanganyikiwa

Kwa sababu sio mchambuzi wa soka radio zitamuacha tu mtaani.

Kuna maisha yanatupitisha njia tofauti ila jamaa anajua sana

Kwa kifupi tu jamaa yuko deep sana anaijua vizuri panic war iliyopiganwa na hamiric Barca baada ya baba ake kushindwa mwanzo na Roman empire

Hata mfalme George yuke ameongelewa kwenye movie ya shaka Zulu likua ni mweusi. Historia ya mtu mweusi imebadilishwa au kufichwa. Zote mpaka Musa nabii aliyekua anagawanya maji ni legend ya Kemet.

@Supersume historian it's about time watu wanaanza kufungua macho....

Huyu Sasa ifike muda apewe mihadhara kwenye vyuo vikuu

Wangemjua na yeye, wangemfanya mzungu.

