
Mfalme👑🇹🇿
@MfalmewaX1 • 18,882 subscribers
UDSM | Men’s health | Work Smart | Matrix is real
Shorts
Videos

Ukosefu ajira, magonjwa, biashara ngumu, mahusiano kuyumba, umasikini, kugombana, vifo, mshahara mdogo ni Vitu vya kawaida kwenye maisha ila binadamu tumechagua kuona mateso. Mbaya zaidi hatuombi ila hadi Mwanamposa. Hizo ni kazi za shetani. Sikiliza neno linavyotakiwa kuwa.
Mfalme👑🇹🇿75,136 Aufrufe • vor 1 Jahr

Huyu Shilole lazima apungue, familia mmenikabidhi kazi na nimeipokea
Mfalme👑🇹🇿52,128 Aufrufe • vor 1 Jahr
9:50
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Kama mke wako amemfollow huyu Dada, achana nae ukipuuzia hutoamini kitakachokukuta.
Mfalme👑🇹🇿53,491 Aufrufe • vor 1 Jahr
5:06
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Wazungu wanatuchukia kwa sababu wanajua sisi ni superior - part 15
Mfalme👑🇹🇿25,179 Aufrufe • vor 1 Jahr