正在加载视频...

视频加载失败

40,817 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

Godson Salema 的头像
Godson Salema1 年前

.juzii nikamwambia itakuja kuziba pengo la ma judge wa mahakama ambao wana Bias..haya mambo ya judge kuwa na personal feelings kwenye kesi mtuu n mbayaaaa Sanaa..AI Aangekuwa judge leo DR.SLAA! angekuwa Free!

George Mwiga 的头像
George Mwiga1 年前

Bado unahitaji watu wayaweke yote hayo kwenye mifumo ili huyo Agentic AI atoe majibu. Tusiogope, tufanye kwa mujibu wa mahitaji yetu. The computer will never have the capacity to think. Never.

CL 的头像
CL1 年前

Halafu unaangalia homework za watoto wetu, wanapewa maswali ya kuja kumfanyia nyumbani, yanaliza maswali ya majina ya machifu, na methali na aina ya vyombo vya asili vya muziki! Shule za waswahili bado wanadhani kazi ya kichwa ni kutunza kumbukumbu!

Leonard Toja Manyama 的头像
Leonard Toja Manyama1 年前

Wakati wenzetu wako huko, huku nyumbani ndio kwanza CCM inamteua Wasira aka mzee wa kuuchapa ili aongoze chama kinachoisimamia serikali

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

- Come Around

Eng. Gwamaka Elijah 的头像
Eng. Gwamaka Elijah1 年前

Sisi tupo bize na ushindi wa kishindo 🚮

Odoyo 的头像
Odoyo1 年前

@Eng_Corrosive Tukiendelea kuiendekeza CCM na ma Garbage yake kina Wasira, we are doomed!

Bullet Chember 的头像
Bullet Chember1 年前

Na raia wengi sana wanaenda kukosa ajira kwa kasi kubwa sana. Mikimbizano ni mingi Mangi.

Niko Masonda 的头像
Niko Masonda1 年前

Artificial intelligence AI

Innocent Raymond junior 的头像
Innocent Raymond junior1 年前

Hapa masters au PhD ya IT engineering muhimu sana huko mbele, watoto wenye uwezo wa kusoma sayansi watieni moyo na kuwapa support kubwa sana.Mungu ibariki Tanzania ❤️

Baba Swalehe 的头像
Baba Swalehe1 年前

It has already reached here.... You can go and look Noble minds on YT.... Just write noble minds Ai...

相关视频