Loading video...
Video Failed to Load
Dunia ni flat, sio Duara - part 11. Kwako @Exquisite_255
86,097 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

@Exquisite_255 Kwenye hili namuunga MKONO 💯 Katikati ya Dunia kuna Magnet that's why Compass in point toward It na always ukiwa una circumnavigate Dunia you always point to magnetic pole.

@Exquisite_255 Huyu jamaa ni tapeli af mnampa air time. Jamaa anawasimulia fictional prose af mnaamini akati ni stori zinatungwa tu na mtu yeyote. Fuck!

@Exquisite_255 Sasa Dunia sawa ni flat je, wapi position ya jua lilipo ? and why usiku na mchana iwe differ kutokana na eneo ? And kivipi difference za seasonal ya eneo Kwa eneo ? ☹️

- While The World Sleeps

@Exquisite_255 @Exquisite254 anasema kila siku Flta ya dunia ni kama chapati vile ama shilingi ikilazwa ni duara lakini ambayo iko flat ya kulazwa Na sio kama mpira Me hii kitu nshaanza kuamini ya flat earth

@Exquisite_255 Kujua conspiracies sio kujua ukweli, Itofautishwe!🤌

@Exquisite_255 Mbingu 7 anazoeleza hapa nadhani ni level za ufahamu,biblia inatumia sana coded language so kuielewa hutegemea na level ya ufahamu wako

@Exquisite_255 Huyu jamaa hata akisema SHETANI ndo mwenyekiti wa CDM sawa tu ataaminiwa

@Exquisite_255 Tecknolojia imekuwa watu wanatoka nje ya Dunia kuitazama sayari ya Dunia kwa nje, kama mtu kutoka nje kuangalia nyumba yake, picha zote zilizopigwa nje ya Dunia zinaonyesha Dunia ni Duara, hicho kitabu anachosema kimeandikwa na mrekani, wamerekani nima binges fiction na proganda

@Exquisite_255 Alianza vizuri ila huku anakoelekea anaenda kuharibu tuko hapa

@Exquisite_255 Proof moja wapo ya kuwa dunia duara mwambieni aende baharini/feri aangalie meli ikiondoka wakati inapotea kwanini haipotei yote kwa mara moja badala yake inapotea kidogo kidogo mpk inaishilizia mlingoti wake? Ingekuwa flat ingepotea kwa mara moja
Related Videos
Sensitive content
First frame ni bwana analia bibi yake ameshikwa. Second ni bibi anakana l bwanake. Majamaa wanawake sio watu
Sir-Rap-A-Lot
68,598 views • 22 days ago
