Eeehhhh mambo yamchemka huku
20.619 görüntüleme
Eeehhhh mambo yamchemka huku
8 Yorum
Yorumlar X (Twitter) üzerindeki orijinal gönderiden alınmıştır

@AFRIKA_JANA
It’s their turn, they once humiliated our ancestors 🤣🤣🤣
5 beğeni

@shumaabel
Upumbavu mkubwa!!! Mizungu ya wapi hii? Mitapeli kama mitapeli mingine… eti let the miracle happen… stupid is as stupid does 🚮🚮🚮 hapo wabongo wameona mzungu kaanguka, sisi ndiyo tutakuwa tunajibamiza kabisa chini kama makondoo 💩
4 beğeni

@ability_ink
Wazungu wameanza kuwa matapeli lini😂😂
3 beğeni

@_ginimbi
Wazungu sikuhizi wanaanguka mapepo, hawa wazungu wa sikuhizi wamekuaje? 😆😆😆
2 beğeni

@bwakilabwakilau
Wazungu wa bonyokwa hawa
2 beğeni

@GeofreyDSM
Dah! Kumbe hadi wazungu nawao nimatapeli 🚮🤠🤠
1 beğeni

@due_la_per
Matahila ya kizungu na mlinda kondoo wao

@deohugo
Finally wazungu
