Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Eti amepatia au..?😂
21,431 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Mnigajia1 yıl önce
Kajitahidi sana he deserve 85/100 marks

Hilda Newton1 yıl önce
Kwa kweli

The mandevu1 yıl önce
Huyu aje The Mandevu Store nimpe cargo Pants 😂

Shayo1 yıl önce
Aisee huyu jamaa atakuja kua Nyerere wa pili kwenye hili Taifa wasimuue tuu

Ibrahim Haroub1 yıl önce
Dah kuna watu wana vipaji sana

Tanganyikayangu1 yıl önce
Pengine Tundu Lisu ndiyo maana ya influencer kama mlikuwa hamjui.

ally blessings1 yıl önce
Hawa ndio wanaingiza saut za watu baadae unaskia mfanya doria wa mitandao anasema nimemskia akisema

NeW lifeTz1 yıl önce
Kwa maoni yangu me Hawa sio wa kufumbia macho pengine yaye akafanya kwa mapenzi ila akaja akatumiwa na wahuni kuchafuwa status kwa masirahi ya wakoloni weusi kupitia sauti hiyooo 🤔

Mmeru wa Arusha 🇨🇦🇮🇱 🐕🐕1 yıl önce
9/10

DR SLUMP1 yıl önce
Pia hii sauti Ina weza kutumika vbaya now jamaa tayar marketable katika kipindi kama ichi
