Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Eti,.? 🤔🤔
95,724 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Kabla @Sativa255 hajapata shida sikua naujua huu mkoa kabisa ume trend sababu Mafwele anautumia kufanyia mauaji ya watu wasio na hatia huenda na kina soka wako huko katavi

Sehemu nzuri za kutupia WaTanzania wenzetu wazalendo wenye kukosoa maovu yanayofanyika katika taifa hili ..!! Viwanja vya Mafwele na Genge lake lile la wakina rasta na wenzao ..

Namkumbuka @Sativa255 Mungu alimuokoa na kifo kutoka pori hilo baada ya wanaojulikana kutaka kumuua lakini mpaka leo hakuna hatua zozote zimechukuliwa dhidi yao. Mungu atachukua hatua zake kali dhidi yao wote mpaka mtawala mkuu 🙏

Namkumbuka @Sativa255 halafu linanijia jina mafwele kwenye akili yangu. Halafu nafikiria tena hivi @DEUSDEDITHSOKA na wenzako hatutawaona tena?inakuja nafsi ya matumaini nakuniambia wapo nawatarudi wakiwa hai. Namalizia kwakusema Amina Mungu wetu ni mkuu sana

Nakumbuka kisa cha kijana aliyetekwa na waliomteka anawajua ila hapati ushirikiaono wowote

Namkumbuka Tu Mnyakyusa alivotoboa Mungu Yuko upande wetu hakika

Ngoja Sativa aje anaweza kutuambia vizuri

Msije mkafuta tu Ila nakumbuka kisa cha Sativa

Mafu ele sati

Pole sana kaka @Sativa255 Mungu aendelee kukupigania kwa ajili yetu na uzazi wako
