Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Explained in simple terms…
14,577 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
9 Yorum

kampuni ya green resources ltd iliyopo mafinga imeuza carbon credit kuanzia 2011 .. billions of money walipata.. serikali yetu kupitia misitu yake haijaweza kuuza carbon .. ili uuze kuna vigezo vingi sana ambavyo ni changamoto kwa serikali yetu ndio maana hawajauza

ni mpango flan hivi wa short term hela kwa sisi but ni wa kutuacha tuendelee kuwa bara masikini kwa long term

Kupitia hii video nimejivunza kiurahisi zaidi Kuhusu carbon credit

Yes, we have it @CarbonTanzania are among of company practices in Northern Tanzania

Nimeelewa Sasa...shukran Dada

Wow nimeelewa vyedi kabisa

Yes Yes

Very helpful,even myself I was not having this knowledge of carbon credit…thanks Carol

So Tanzania tukiuza carbon credit kwa kutumia misitu yetu sisi tukitaka kujenga viwanda tutanunua wapi hizo credits?? Au ndo itakuwa ukiwa huwezi kununua huruhusiwi hata kujenga viwanda?? 🤔🤔
