Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Family Karaoke 🥰
52,155 просмотров • 9 месяцев назад •via X (Twitter)
Комментарии: 35

Blessed one🫡

Imagine kuna wajinga walitaka usiendelee kufurahi na familia yako. Binadamu tumekua wakatili sana 😔

Naic family muish kwaupendo mnapendezeana blood👊

Mi sipendi kuongea mengi ila kuna kitu cha Stamina nimekiona hapo

mkato huyo binti yako namsubiri

Na mimi nipate wa hivi nitulie😀

Mungu aifunike familia hii kwa mbawa zake!

❤️❤️❤️😊

Sema kwa makid hujapigwa No DNA needed

❤️

Kaka kakaa~kakaaa

The reason why mimi ni shabiki yako, you look very responsible and caring man. We should behave that way 👍

Madogo wamekuwa kinoma. Big up

Be blessed rasta

Very nice family may God bless you!

beautiful family may god bless you bro

@christopherjul8 yako na mama V???

@EBahaye44109 Tuna wapenda god blessd you my brother you family

sasa hivi Ivy na Ivan lazima waweke verse kali angalia namna

I got much respect for this family man, stay blessed for you and yours.

uyo mwamba uko nyuma inaonekana ye hajali mambo ya family

Was a stunning family

Ubarikiwe

One day inshallah

Unyama

Magufuli alaaniwe ayse

Mwamba kule kunya ana vibe kinoma 😂

KIBANDA CHA BIASHARA CHA CHUMA KINAUZWA KINAFAA KWA UWAKALA, DUKA N.K NI KIPYA KABISA BEI NI 570,000/= MAWASILIANO: 0748 270 719 LOCATION: GONGO LA MBOTO

Mwanangu kuwa uyaone

maua yako mkali

Good family bro Muishi kwa Misingi bora ya kiimani

AI 😂😂

Njoo umuongeze katoto kengine babu, harakati walikuwepo kina kingunge ngombale mwiru na Nyerere.

Kumbe kaka una mwali kabisa ongera bana

umenifanya nicheke kwa sauti kama chizi vile🤣🤣🤣🤣
