Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Fantastic word!!
86,147 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

Utu ni jambo lamsingi: Vyeo havidumu milele

Na kwenye uchaguzi pia wawaze kutoibaga

Tatizo la watumishi wa umma nao kuwa wafanyabiashara ndio maana nafanya biashara kama mfanyabiashara hathaminiwi

Well done brother Chingolo,wewe umeongea Kwa utu sana na mungu akubariki sana,tunataka na tuna penda viongozi wanaojali watu wengine nakushukuru kaka Kwa utu wako

Daah kasema kwa namna ya utu mno.

Hakika tuna taka watu kama Hawa

Kuliko kusubiri matako ya watu.... Kwani hakuna sheria zinazomlinda mzabuni dhidi ya madhila kama haya...!?

Kuna watu wapo kwenye vyeo ila hawajui kwanini wapo hapo

Neno. Viki stafu hua vina haha sana. UBAYA UBWELA

Key word is ‘laana’ nchi zetu zina kila kitu lkn bado tupo nyuma.

